Market Opportunities for Farm products

Smart-Farming post , last update at 27.10.2013 05:55

What are the current market prices for a dry bag of maize?

Reply...
Smart-Farming post , last update at 30.10.2013 07:15

Share marketing opportunities for Nayif Awadh Salim products - by products of his slaughter house, which include: Hooves, skin , horns, blood and meat.

Jambo ,Nifuraha kuasiliana na nyinyi. Mimi nina kichinjio cha kuchinja ngombe,mbuzi,kondoo na ngamia ,jee naweza saidika kupata vifaa vya kisasa ili inirahisishie kazi na pia kuna mbolea nyingi sana , damu,ngozi za vichwa ,pembe na mabaki ya vipande vya nyama,na naamini vyote nilivyo vitaja vina manufaa na sifurahii nikiviona vyatundizika bila kufaidika navyo. je mwaweza nipa msaada gani ili niweze faidika. Jina la kichinjio ni Kichinjio cha Mariakani .

Reply...
Register / Log in